Tuesday, March 4, 2014

UNDP YATOA MSAADA WA GREDA NA MAGARI MATATU TANAPA KWA HIFADHI YA KITULO NA RUAHA.


SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limepokea msaada wa vitendea kazi vitakavyosaidia kuimarisha ulinzi na miundombinu ya barabara kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Msaada huo uliotolewa kupitia Mradi wa Kuimarisha Mtandao wa Maeneo ya Hifadhi Kusini mwa Tanzania (SPANEST) unahusisha magari matatu aina ya Toyota Pickup Land Cruiser na greda moja.





Wajumbe wa bodi ya Mradi wa Spanest katika picha ya pamoja na mgeni rasmi kutoka UNDP.


Mratibu wa mradi wa Spanest akielezea zoezi la makabidhiano litakavyokuwa

Naibu Mkurugenzi Mkaazi wa UNDP hapa nchini, Mandisa Mashologu akitoa risala yake


Mwakilishi wa Mantrac Tanzania Akielezea matumizi ya greda.

Zoezi la utiaji wa saini

Makabidhiano







Picha ya pamoja mara baada ya kukamilika  kwa zoezi lamakabidhiano.