Monday, June 30, 2014

SPANEST YAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO NA MABANGO KWA VIJIJI 21 VYA TARAFA YA IDODI NA PAWAGA KWA MAANDALIZI YA SPANEST CUP



Katibu Tarafa wa Idodi akiwatambulisha waandaji wa mashindano ya SPANEST CUP kwa Viongozi wa timu waliofika kwa ajili yakuchukua Vifaa kwa ajili ya Maandalizi ya mashindano.

Mratibu Msaidizi wa   SPANEST CUP akitoa maelezo ya malengo yakuanzisha mashindano hayo kwa Viongozi wa timu waliofika kwa ajili yakuchukua Vifaa kwa ajili ya Maandalizi ya mashindano.


Katibu wa chama cha soka wilaya ya Iringa akielezea kanuni zitakazotumiwa kwa ajili ya   mashindano ya SPANEST CUP kwa Viongozi wa timu waliofika kwa ajili yakuchukua Vifaa kwa ajili ya Maandalizi ya mashindano.

Viongozi wa timu ya kata ya Idodi wakiwa wanamsikiliza kwa umakini mratibu msaidizi wa Mashindano  Ndugu Mrashani ambaye hayupo pichani.n

Picha ya pamoja kuonyesha utayari wa Upigaji Vita Ujangili.


Katibu Tarafa wa Idodi akigawa mpira na    kanuni kwa kiongozi wa timu ya Kitisi amabayo ni miongozni mwa tiu itakayoshirik Mashindano hayo.



SPANEST YAANZISHA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KWA VIJANA KUHAMASISHA UPIGAJI VITA UJANGILI KUTOKA MAENEO YA IDODI NA PAWAGA..

Mratibu wa mashindano ya Spanest Cup,Godwell Meing'ataki akiwaonyesha waandishi wa habari Zawadi kwa ajili ya mshindi wa kwanza medali ya Dhahabu.

Mratibu wa mashindano ya Spanest Cup,Godwell Meing'ataki akiwaonyesha waandishi wa habari Zawadi kwa ajili ya mshindi wa pili na watatu 


vijana oyeee ndivyo anavyosema Mhasibu wa Mradi wa SPANEST


Mratibu wa mashindano ya Spanest Cup,Godwell Meing'ataki akizungumza na Waandishi wa Habari kuanza kwa mashindano hayo 


Mratibu wa mashindano ya Spanest Cup,Godwell Meing'ataki akiwaonyesha kombe kwa ajili ya washindi wa kwanza.